Recent News and Updates

Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya Moyo na Kisukari.

Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari ambapo asilimia 60 wamekutwa na tatizo la shinikizo la juu la damu (Presha) na asilimia 20 ya waliokutwa na tatizo hilo tayari walishapata madhara ya shinikizo la juu la damu ikiwa ni… Read More

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yaongeza ushirikiano wa kimatibabu ya kibingwa

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ipo mbioni kuanzisha ushirikiano katika kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa kushirikiana na madaktari kutoka Hospitali ya Ostrava iliyopo Jamhuri ya Watu wa Czech. Akizungumza baada ya kufanya ziara JKCI jana Jijini… Read More

Watoto 40 wafanyiwa uchunguzi, 21 kati yao watibiwa katika kambi maalum ya matibabu ya Moyo

Watoto 40 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa hayo ambapo 21 kati yao wamefanyiwa upasuaji wa moyo kwa kutumia tundu dogo (Minimum Invasive Surgery) katika kambi maalum ya matibabu ya moyo iliyofanywa na wataalamu… Read More

Hotuba ya Waziri wa Afya Mh.Ummy Ally Mwalimu(MB) iliyowasilishwa inayohusu mapato na matumizi

Mh.Ummy Ally Mwalimu(MB) aliwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa fedha 2022/23. Rejea taarifa kamili kwenye kiambata kilichopo kwenye mail hii.  Read More

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maandalizi ya kushiriki mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya klabu bingwa Afrika. Read More