Recent News and Updates

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yaibuka kinara matumizi ya Tehama sekta ya Afya

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepewa tuzo ya Taasisi ya mabadiliko Tehama bora katika utoaji wa huduma za afya nchini. Tuzo hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Zainab Chaula wakati wa kongamano… Read More

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maandalizi ya kushiriki mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya klabu bingwa Afrika. Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua mtambo wa Kisasa Catheterization Laboratory uliounganishwa na mtambo wa Carto 3 system 3D and mapping electrophysiology system wenye uwezo wa kufanya uchunguzi, kufunga… Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU DUNIANI TAREHE 17/5/2020

Ugonjwa wa Shinikizo la juu la damu hutokea wakati nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya moyo kuwa  kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili kusukuma  damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida… Read More

Wasamaria wema wafanikisha matibabu ya mtoto aliyezaliwa na matatizo ya moyo

Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto huyo aliyezaliwa pacha (wawili) alikuwa anakabiliwa… Read More