Resources

WACHEZAJI 38 WA TIMU YA TAIFA STARS WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO

Wachezaji 38 wa timu ya Taifa Stars wamefanyiwa uchuguzi wa kina wa magonjwa ya moyo kama Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF) linavyoelekeza kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Mataifa ya Africa (AFCON)…

Read More

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATANGAZA ZABUNI MBALIMBALI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete imetangaza zabuni mbalimbali kama tangazo linavyoonyesha kwenye kimbatisho hapo chini

Read More

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amefanya ziara JKCI

Wafanyakazi wa Taasisis ya Moyo Jakaya Kikwete wametakiwa kufanya kazi zao kwa umoja, kuwasaidia wahitaji na kuwatendea haki wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Rai hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na  Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul

Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul aipongeza Taasisi ya Moyo(JKCI) ya Nchini Tanzania

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepongezwa kwa jitihada zake inazozifanya  za  kuweza kuwafikia wananchi wengi  kwa  kutoa huduma bora za matibabu, elimu na ushauri wa jinsi ya kuepukana…

Read More

Changia Huduma za Matibabu kwa Njia ya Simu

Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete ina takribani Watoto 500 wanaosubili kufanyiwa upasuaji mkubwa lakini hawana uwezo. Serikali inasaidia kwa kiasi kikubwa lakini mzigo bado ni mkubwa. Upasuaji kwa mtoto mmoja…

Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akipokea zawadi ya picha ya moyo kutoka kwa Gavana wa  Jimbo la Shandong lililopo mjini Beijing  nchini China Yu Xiao-ming

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imejipanga kutanua huduma zake .

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imejipanga  kutanua huduma zake  kwa kutoa  matibabu ya moyo kwa kuwafuata wananchi wenye matatizo hayo katika hospitali za kanda zilizopo hapa nchini. Hayo yamesemwa…

Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wawakilishi kutoka kampuni ya Tatu Mzuka Foundation

Tatu Mzuka Faundation yachangia Sh. Milioni 20 Ukarabati wa wodi ya watoto JKCI

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Tatu Mzuka Foundation Bw. Sebastian Maganga amekabidhi hundi hiyo leo katika ofisi za Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa kampuni yake itaendelea…

Read More