Recent News and Updates

Mwakilishi wa Mufti Sheik Hassan Chizenga akimkabidhi tuzo ya kuthamini  utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Agnes Kuhenga wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru wataalam wa afya kutoka Taasis

Taasisi ya JKCI yatambulika Kimataifa kwa Huduma Bora

Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo zimeifanya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutambulika kimataifa na hivyo wataalamu wengi kutoka nje ya nchi kuvutiwa  kwenda kufanya kambi maalum za  matibabu  ya moyo kwa kushirikiana… Read More

Wagonjwa 20 Watarajiwa Upasuaji wa Moyo katika Taasisi ya JKCI

Wagonjwa 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na kuwekewa valvu zaidi ya mbili (milango ya moyo) kwenye kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Upasuaji huo unafanywa na madaktari bingwa… Read More

Wahandishi Waipongeza Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeombwa kuwafikia wananchi  wengi zaidi wakiwemo wafanyakazi ili waweze kufanyiwa  vipimo vya  moyo pamoja na kupata elimu ya  jinsi ya kuepukana na  ugonjwa huo. Ombi hilo limetolewa leo… Read More

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao  kutoka Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa… Read More

Taarifa kwa Madaktari Nchini

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi maalum ya magonjwa ya moyo yatokanayo na… Read More