WACHEZAJI 38 WA TIMU YA TAIFA STARS WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO
Wachezaji 38 wa timu ya Taifa Stars wamefanyiwa uchuguzi wa kina wa magonjwa ya moyo kama Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF) linavyoelekeza kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Mataifa ya Africa (AFCON)…
Soma Zaidi