Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuona kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayofanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI na wenzao wa Shirika la Mending Kids International