News and Events

Wagonjwa 20 Watarajiwa Upasuaji wa Moyo katika Taasisi ya JKCI

Wagonjwa 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na kuwekewa valvu zaidi ya mbili (milango ya moyo) kwenye kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).…

Read More

Wahandishi Waipongeza Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeombwa kuwafikia wananchi  wengi zaidi wakiwemo wafanyakazi ili waweze kufanyiwa  vipimo vya  moyo pamoja na kupata elimu ya  jinsi ya kuepukana na  ugonjwa…

Read More

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao  kutoka Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha…

Read More

Taarifa kwa Madaktari Nchini

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi…

Read More
Kazi ya kumfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibayamtoto mwenye  umri wa miezi mitatu ikiendelea. Picha na Brighton James - JKCI

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa Kutoa Mafunzo Maalum Katika Upasuaji wa Moyo kwa Watoto Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya…

Read More

Wagonjwa 19,371 Watibiwa Katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Kutoka Januari Hadi Machi 2018

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miezi mitatu ya Januari hadi Machi 2018 imeona jumla ya wagonjwa 19,371 wenye matatizo mbalimbali ya moyo kati ya hao wagonjwa wa nje ni 18,481 na waliolazwa…

Read More
Prof. Mohamed Y. Janabi

Jakaya Kikwete Cardiac Institute to Spread Heart Treatment Wings

The Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) is intending to extend its expertise on cardiovascular treatment to other facilities throughout the country, in a bid to improve the cure of heart ailments. JKCI Executive…

Read More
DIRECTOR OF CARDIOLOGY SERVICES DR PETER KISENGE

JKCI specialists conduct children heart surgeries in Dar

The Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) in collaboration with the Save a Child’s Heart (SACH) based in Israel and Berlin Heart Centre based in German have successfully conduct a life saving heart surgery…

Read More