Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya Moyo na Kisukari.

Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari ambapo asilimia 60 wamekutwa na tatizo la shinikizo la juu la damu (Presha) na asilimia 20 ya waliokutwa na tatizo hilo tayari walishapata madhara…

Read More

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yaongeza ushirikiano wa kimatibabu ya kibingwa

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ipo mbioni kuanzisha ushirikiano katika kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa kushirikiana na madaktari kutoka Hospitali ya Ostrava iliyopo Jamhuri ya Watu wa Czech. Akizungumza…

Read More

Watoto 40 wafanyiwa uchunguzi, 21 kati yao watibiwa katika kambi maalum ya matibabu ya Moyo

Watoto 40 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa hayo ambapo 21 kati yao wamefanyiwa upasuaji wa moyo kwa kutumia tundu dogo (Minimum Invasive Surgery) katika kambi maalum…

Read More

Hotuba ya Waziri wa Afya Mh.Ummy Ally Mwalimu(MB) iliyowasilishwa inayohusu mapato na matumizi

Mh.Ummy Ally Mwalimu(MB) aliwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa fedha 2022/23. Rejea taarifa kamili kwenye kiambata kilichopo kwenye mail hii. 

Read More

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo

Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wapimwa afya ya magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maandalizi ya kushiriki mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara na mashindano ya…

Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua mtambo wa Kisasa Catheterization Laboratory uliounganishwa na mtambo wa Carto 3 system 3D and mapping electrophysiology system…

Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU DUNIANI TAREHE 17/5/2020

Ugonjwa wa Shinikizo la juu la damu hutokea wakati nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya moyo kuwa  kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili kusukuma …

Read More

Wasamaria wema wafanikisha matibabu ya mtoto aliyezaliwa na matatizo ya moyo

Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto huyo aliyezaliwa…

Read More