Resources

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wawakilishi kutoka kampuni ya Tatu Mzuka Foundation

Tatu Mzuka Faundation yachangia Sh. Milioni 20 Ukarabati wa wodi ya watoto JKCI

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Tatu Mzuka Foundation Bw. Sebastian Maganga amekabidhi hundi hiyo leo katika ofisi za Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa kampuni yake itaendelea…

Read More

JKCI kwa kushirikiana na THF wafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo

Katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani tarehe 29/09/2018 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari wa Moyo Tanzania (THF) wafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila…

Read More
Mwakilishi wa Mufti Sheik Hassan Chizenga akimkabidhi tuzo ya kuthamini  utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Agnes Kuhenga wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru wataalam wa afya kutoka Taasis

Taasisi ya JKCI yatambulika Kimataifa kwa Huduma Bora

Huduma bora za matibabu pamoja na upasuaji wa moyo zimeifanya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutambulika kimataifa na hivyo wataalamu wengi kutoka nje ya nchi kuvutiwa  kwenda kufanya kambi maalum za…

Read More

Wagonjwa 20 Watarajiwa Upasuaji wa Moyo katika Taasisi ya JKCI

Wagonjwa 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na kuwekewa valvu zaidi ya mbili (milango ya moyo) kwenye kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).…

Read More

Wahandishi Waipongeza Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeombwa kuwafikia wananchi  wengi zaidi wakiwemo wafanyakazi ili waweze kufanyiwa  vipimo vya  moyo pamoja na kupata elimu ya  jinsi ya kuepukana na  ugonjwa…

Read More

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao  kutoka Shirika la Chain of Hope la nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha…

Read More

Taarifa kwa Madaktari Nchini

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi…

Read More
Kazi ya kumfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibayamtoto mwenye  umri wa miezi mitatu ikiendelea. Picha na Brighton James - JKCI

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa Kutoa Mafunzo Maalum Katika Upasuaji wa Moyo kwa Watoto Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya…

Read More