Resources

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za Afya

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za afya na matumizi ya Teknolojia  katika tiba  kwenye  maonesho ya 43 ya Kibiashara ya  kimataifa ya Dar…

Read More

Viongozi wa Hospitali za mikoa ya Manyara, Mtwara na Tanga wafanya ziara ya mafunzo ya kikazi JKCI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeahidi kushirikiana na Hospitali za mikoa  ya  Mtwara, Manyara na Tanga kwa kuwatuma wataalamu wake kwenda kutoa huduma za matibabu ya kibingwa ya moyo katika Hospitali…

Read More

WACHEZAJI 38 WA TIMU YA TAIFA STARS WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MOYO

Wachezaji 38 wa timu ya Taifa Stars wamefanyiwa uchuguzi wa kina wa magonjwa ya moyo kama Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF) linavyoelekeza kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Mataifa ya Africa (AFCON)…

Read More

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATANGAZA ZABUNI MBALIMBALI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete imetangaza zabuni mbalimbali kama tangazo linavyoonyesha kwenye kimbatisho hapo chini

Read More

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amefanya ziara JKCI

Wafanyakazi wa Taasisis ya Moyo Jakaya Kikwete wametakiwa kufanya kazi zao kwa umoja, kuwasaidia wahitaji na kuwatendea haki wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Rai hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na  Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul

Balozi wa Uholanzi nchini Mhe.  Jeroen Verheul aipongeza Taasisi ya Moyo(JKCI) ya Nchini Tanzania

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepongezwa kwa jitihada zake inazozifanya  za  kuweza kuwafikia wananchi wengi  kwa  kutoa huduma bora za matibabu, elimu na ushauri wa jinsi ya kuepukana…

Read More