LIPA kwa MPESA *150*00#
LIPA kwa TIGO PESA *150*01#
LIPA kwa AIRTEL MONEY *150*60#
LIPA kwa EZY PESA *150*02#

Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete ina takribani Watoto 500 wanaosubili kufanyiwa upasuaji mkubwa lakini hawana uwezo. Serikali inasaidia kwa kiasi kikubwa lakini mzigo bado ni mkubwa. Upasuaji kwa mtoto mmoja  unagharimu si chini ya TZS 2,000,000/=. Wananchi mnaombwa kuchangia kiasi chochote kuanzia TZS 1000 kupitia mfumo wa malipo ya Serikali kwa Control No 994830000022. Changia kurudisha tabasamu kwa Watoto wetu​

Jinsi ya Kuchangia:

  1. *150*00# Mpesa  / *150*01# TigoPesa   / *150*02# EzyPesa  / *150*60# AirTel Money 
  2. Lipa bill; (4)
  3. Malipo ya serikali (5)
  4. Namba ya malipo(1)
  5. 994830000022
  6. Weka kiasi
  7. Weka namba yako ya siri
  8. Bonyeza 1 kuthibitisha