Resources » News and Events

Taasisi ya Moyo ya (JKCI) Yatoa Zawadi kwa Wafanyakazi Bora wa Mwezi wa Tisa na Kumi

Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi wa tisa Adilla Musa ambaye ni mtunza kumbukumbu katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru.

Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa

  • Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Daktari bora wa mwezi wa kumi Siza Ngomero katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru.
  • Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi bora wa mwezi wa kumi Flora Kasembe ambaye ni Msimamizi wa Majengo kwenye kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru .
  • Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia utoaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na kumi kwenye kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo.Picha na JKCI