News and Events

Taarifa kwa Madaktari Nchini

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi…

Read More
Kazi ya kumfanyia upasuaji wa kuziba matundu na kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibayamtoto mwenye  umri wa miezi mitatu ikiendelea. Picha na Brighton James - JKCI

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Uingereza Yajiunga na Mataifa Mengine Kusaidia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa Kutoa Mafunzo Maalum Katika Upasuaji wa Moyo kwa Watoto Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya…

Read More

Wagonjwa 19,371 Watibiwa Katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Kutoka Januari Hadi Machi 2018

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miezi mitatu ya Januari hadi Machi 2018 imeona jumla ya wagonjwa 19,371 wenye matatizo mbalimbali ya moyo kati ya hao wagonjwa wa nje ni 18,481 na waliolazwa…

Read More
Prof. Mohamed Y. Janabi

Jakaya Kikwete Cardiac Institute to Spread Heart Treatment Wings

The Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) is intending to extend its expertise on cardiovascular treatment to other facilities throughout the country, in a bid to improve the cure of heart ailments. JKCI Executive…

Read More
DIRECTOR OF CARDIOLOGY SERVICES DR PETER KISENGE

JKCI specialists conduct children heart surgeries in Dar

The Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) in collaboration with the Save a Child’s Heart (SACH) based in Israel and Berlin Heart Centre based in German have successfully conduct a life saving heart surgery…

Read More
Executive Director of the SACH, Mr Simon Fisher, said since 1999, the organisation has treated over 600 children from Tanzania mainland and Zanzibar

Three-day of successful surgeries at Jakaya Kikwete Cardiac Institute

TWENTY children suffering from heart complications have undergone successful surgeries, catheterizations, during the past three days at the Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI). During their assignment,…

Read More

Taasisi ya Moyo ya (JKCI) Yatoa Zawadi kwa Wafanyakazi Bora wa Mwezi wa Tisa na Kumi

Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa

Read More

JKCI Wakiwa katika Maonyesho ya Sabasaba 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Mkurugenzi wa Huduma za Biashara wa Tan Trade Fidelis Mugenyi wakati alipotembelea maonyesho ya Kimataifa ya biashara…

Read More